• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Muanara ataja kikosi cha Malkia Strikers kitakachokwenda Cameroon

    (GMT+08:00) 2017-10-04 08:57:53
    Kocha mkuu wa Malkia Strikers, Japheth Munala ametangaza kikosi cha wachezaji 12 kitakachopeperusha bendera ya Kenya katika mashindano ya voliboli ya wanawake ya Afrika nchini Cameroon mnamo Oktoba 7-14, 2017.

    Kenya itawania tiketi moja ya kufuzu kushiriki mashindano ya dunia iliyoko mezani nchini Cameroon.

    Baadhi ya wapinzani wakuu wa Kenya ni Misri, Algeria, Tunisia, Senegal na Cameroon. Malkia Strikers inatarajiwa kuondoka nchini Alhamisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako