• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya Tenisi ya wazi ya China: Maumivu yamuondoa Muguruza

    (GMT+08:00) 2017-10-04 09:00:00
    Mchezaji nambari moja kwa upande wa kina dada Garbine Muguruza amejiondoa katika michuano ya tenisi ya wazi (China Open). Muguruza mwenye miaka 23 alipoteza seti ya kwanza kwa 5-1 mbele ya Barbora Strycova wa Jamhuri ya Czech.

    Mchezaji huyo aliumia kiwiko cha mkono na kumfanya ashindwe kusonga mbele zaidi. Baada ya timu ya madaktari kuwasili, ilisemekana kwamba hatoweza kumalizia ngwe iliyokuwa imesalia.

    Muguruza amesema hakupenda kabisa kuishia katikati ya michuano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako