• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tyson Fury asema hatoomba tena leseni ya kupigana kwenye chama cha ndondi cha Uingereza.

    (GMT+08:00) 2017-10-05 08:21:00

    Bingwa wa zamani wa uzito wa juu Tyson Fury amesema hatoomba tena leseni ya kupigana kutoka chama cha ndondi nchini Uingereza.

    Furry mwenye miaka 29 alinyang'anywa leseni yake Oktoba 2016 baada ya kugundulika kutumia dawa zilizokataliwa michezoni. Aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba ingawa alikutwa na kosa lakini hawezi kunyenyekea kupata haki yake. Uamuzi wake wa kutoomba tena leseni hiyo unauweka njia panda mustakabali wake katika mchezo huo, licha ya awali kusema ana mpango wa kuachana nao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako