• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Waganda sasa kusaka kazi za nje kwa ntandao

    (GMT+08:00) 2017-10-05 18:45:09

    Jukwaa lipya la mtandao litazinduliwa hivi karibuni kuwapa fursa waganda wanaosaka kazi nje ya nchi.

    United Arab Emirates na shirika moja la Uganda Malisu Apollo lameshirikiana kuanzisha tovuti ya (www.trademasters.online) kuwasaidia watu kupata kazi kwa njia halali.

    Apollo Malisu afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo amesema jukwaa hilo litatoa maelezo ya fursa za kazi na kahitaji pamoja mshahara.

    Watu wanaotafuta kazi watalipiwa tiketi za safari za ndege baada ya mahitaji yai kupitishwa .

    Bashir Mawa Aluma meneja wa oparesheni wa UAE amesema kwamba shirika hilo litazuia visa vya wateja wanaotafuta kazi kuporwa hela zao kwani watapunguza visa vya udanganyifu.

    Aidha wasakaji kazi watapigiwa simu rasmi .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako