• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sharapova akiri kuzidiwa na Halep michuano na China Open

    (GMT+08:00) 2017-10-06 09:02:26

    Mchezaji tenis raia wa Urusi, Maria Yuryevna Sharapova ametolewa katika michuano ya wazi ya hapa China 'China Open' baada ya kukubali kipigo kutoka kwa Simona Halep katika hatua ya robo fainali. Sharapova ambaye anashika nafasi ya kwanza katika viwango vya ubora wa mchezo huo duniani ametolewa na Halep kwa jumla ya seti 6-2 6-2. Mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo Maria Sharapova alikiri kuzidiwa kiwango na mromania huyo na kusema kuwa alikuwa bora zaidi yake.

    Halep atakutana na mchezaji mwingine wa Urusi mwana dada Daria Kasatkina ambaye alipata ushindi wake baada ya kumfunga Agnieszka Radwanska kwa seti 4-6 7-5 6-2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako