• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yamalizana na Malawi kwa sare ya 1-1

    (GMT+08:00) 2017-10-09 08:18:58
    Bao pekee la kusawazisha lililofungwa na Simon Msuva limeiwezesha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kutoka suluhu ya 1-1 dhidi ya timu ya taifa ya Malawi kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliopigwa jijini Dar es salaam jumamosi.

    Hadi wakati wa mapumziko, Malawi walikuwa wakiongoza kwa goli hilo 1. Kipindi cha pili, Taifa Stars ilipata bao kupitia Simon Msuva. Na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 1-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako