• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kilimanjaro Marathoni kuanza Novemba

    (GMT+08:00) 2017-10-09 08:19:15
    Mashindano ya riadha ya Kilimanjaro yanayojulikana kama Kilimanjaro Marathoni, yanatarajiwa kufanyika mkoni Kilimanjaro Novemba 19 mwaka huu.

    Mashindano hayo yatakuwa ya kilomita 5, kilomita 21 na kilomita 42 yatashirikisha wanariadha toka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako