• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndondi: Eubank amlaza usingizi wa pono Mturuki raundi ya tatu

    (GMT+08:00) 2017-10-09 08:19:30
    Bondia Chris Eubank Jr amefanikiwa kunyakua taji baada ya kumpa kichapo cha nguvu mpinzani wake toka Uturuki Avni Yildirim katika pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa IBO uzito wa Super Middle.

    Pambano hilo lilifanyika mjini Stuttgart Ujerumani likishuhudiwa kwa tambwe mbalimbali za mashabiki wa mabondia hao. Hadi kufikia raundi ya 3, Avni hakuweza kunyanyuka sakafuni na hivyo kumpa ubingwa Eubank.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako