• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ronaldo atokea benchi na kuipaisha Ureno safari ya kombe la dunia 2018

    (GMT+08:00) 2017-10-09 08:21:18

    Akitokea benchi mshambuliaji wa Real Madrid raia wa Ureno Christiano Ronaldo ameifungia timu yake ya taifa Ureno bao dakika ya 63 huku bao la pili na la ushindi likifungwa na Andre Silva na kufanya matokeo ya 2-0 dhidi ya Andorra katika mchezo wa kundi D kufuzu kombe la dunia mwakani Urusi.

    Kwenye kundi A, Ufaransa yaifunga Bulgaria goli 1-0, goli la Ufaransa likiwekwa kimiani na Blaise Matuidi katika dakika ya 3 ya mchezo, nayo Uholanzi imeichabanga Belarus 3-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako