• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu kadhaa wajeruhiwa wakati wafuasi wa upinzani wakiendelea na maandamano dhidi ya tume ya uchaguzi

  (GMT+08:00) 2017-10-09 19:04:48

  Maelfu ya wafuasi wa upande wa upinzani nchini Kenya NASA wamerudi tena katika mitaa ya jiji la Nairobi na miji mingine mikubwa katika maandamano ya kupinga Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kabla ya marudio ya uchaguzi wa rais utakaofanyika tarehe 26 mwezi huu.

  Wakiongozwa na wabunge wa upande wa upinzani, waandamanaji hao walinyanyua mabango na kuimba nyimbo wakati wakitembea kuelekea ofisi za makao makuu ya IEBC jijini Nairobi, kuwasilisha pingamizi lao, wakitaka kuondolewa kwa maofisa wanaotuhumiwa kuvuruga uchaguzi uliofanyika Agosti 8.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako