• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Utafiti wa kila mwezi umeonyesha kushuka kwa ukuaji wa uchumi nchini Uganda

  (GMT+08:00) 2017-10-09 19:20:40

  Utafiti wa kila mwezi umeonyesha kushuka kidogo kwa shughuli za kiuchumi mwezi wa Septemba ambayo ilishuka kutoka asilimia 54.1 hadi asilimia 53.8.

  Bw. Jibran Qureshi, mwanauchumi wa kikanda benki ya Standard Bank Afrika Mashariki, alisema hayo alipokuwa akitangaza matokeo wiki iliyopita huko Kampala.

  Alihusisha kukua huku na utendaji mzuri wa sekta ya kahawa.

  Aidha amasema kilimo, viwanda, sekta ya jumla na rejareja ziliendelea kuandikisha ukuaji wa pato na mapato ya biashara mwezi Septemba.

  Vile vile Sekta binafsi ya Uganda inahimizwa kuongeza ongezeko lake la mkopo kwa ili kuongeza shughuli za kiuchumi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako