• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kufuzu kombe la dunia 2018 bara la ulaya: Iceland wafuzu kwa mara ya kwanza.

  (GMT+08:00) 2017-10-10 09:01:55

  Kwa mara ya kwanza Iceland wamefuzu kombe la dunia huku wakiongoza kundi lao la I baada ya jana kuibuka kidedea kwa goli 2-0 dhidi ya Kosovo, magoli yamefungwa na Sirgudsson na J Gudmundsonn.

  Kwingineko, Antonio Candreva amefunga bao moja na kuisaidia timu yake ya Italia kuifunga Albania huku Hispania ambao wamekwishajikatia tiketi ya kucheza michuano hiyo wakiichapa Israel goli 1-0. Katika kundi D timu ya taifa ya Wales wakiwa nyumbani walikubali kipigo cha goli moja kwa nunge kutoka Ireland, huku Serbia nao wakiwa nyumbani wakaichapa Georgia 1-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako