• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Neymar aitaka Barcelona kufungiwa UEFA

  (GMT+08:00) 2017-10-10 09:02:16

  Mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar do Santos (Jr) amekiomba chama cha soka barani ulaya (UEFA) kuifungia klabu yake ya zamani ya Barcelona katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya kutokana na kushindwa kumlipa bonasi yake ya pauni milioni 23 kutokana na uhamisho wake kutoka klabu hiyo kwenda PSG.

  Mwanasheria wa mchezaji huyo amesema mchezaji huyo anapaswa kuchukua hatua kali haraka iwezekanavyo dhidi ya klabu yake hiyo ya zamani kutokana na kushindwa kutekeleza kilichopo kwenye mkataba wao.

  Hata hivyo klabu ya Barcelona wamesema hawatamlipa mchezaji huyo kwakuwa makubaliano hayo yalifanyika wakati tayari mchezajo huyo alikuwa amejiunga na klabu ya PSG.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako