• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Serikali ya Rwanda kupiga marufuku uagiziaji wa mbegu

  (GMT+08:00) 2017-10-10 19:03:13

  Serikali ya Rwanda iko kwenye harakati za kupiga marufuku uagiziaji wa mbegu hasa za Soya na ngano.

  Mkurungezi wa halmashauri ya kilimo nchini humo Mark Cyubahiro Bagabe amesema serikali inawekeza kwenye uzalishaji wa ndani ya nchi wa mbegu ili kuwa na suluhu la muda mrefu.

  Alisema serikali inalenga kujitegemea na mbegu ifikapo mwaka 2021 za mahindi, ngano na soya.

  Kwa sasa Rwanda inaagizia mbegu za mahindi kutoka Zambia, ngano kutoka Kenya na soya kutoka Zimbabwe.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako