• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Wasio na ajira Rwanda ni asilimia 16.7

  (GMT+08:00) 2017-10-10 19:03:47

  Tasisi ya takwimu za kitaifa nchini Rwanda inaonyesha kuwa ukosefu wa ajira umefikia asilimia 16.7 hadi mwezi Februari mwaka huu.

  Vijana wasio na ajira ni asilimia 21.

  Kulingana na taakwimu hizo kati ya watu milioni 11.6 watu milioni 6.7 walio na zaidi ya umri wa miaka 16 wanafanya kazi.

  Mkurungezi wa taasisi hiyo Yusuf Murangwa amesema bado isiyo rasmi ndio inayoajiri watu wengi .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako