• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Mfumko wa bei Tanznia waongezeka hadi asilimia 5.3

  (GMT+08:00) 2017-10-10 19:05:33

  Mfumko wa bei nchini Tanzania umeongezeka hadi kufikia asilimia 5.3 kwa Mwezi Septemba 2017 kutoka asilimia 5.0 Mwezi Agosti mwaka huu.

  Ongezeko hilo limetokana na kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia Septemba, 2017 ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti, 2017.

  Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraim Kwesigabo alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa mfumuko wa bei kwa kipimo cha mwezi umeongezeka kwa asilimia 0.02 kwa Mwezi uliopita ikilinganishwa na kupungua kwa asilimia 0.4 mwezi Agosti mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako