• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania kuandaa maonesho ya utalii ya kimataifa

    (GMT+08:00) 2017-10-11 08:56:22

    Bodi ya utalii ya Tanzania imesema itaandaa maonesho ya utalii ya kimataifa yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo katika mji mkuu Dar es Salaam. Mkurugenzi wa bodi hiyo Bi. Devota Mdachi amesema, kwenye maonesho hayo ya siku tatu yatakayoanza Ijumaa wiki hii, taasisi na mashirika 150 ya utalii kutoka nchi 13 za Afrika zikiwemo Nigeria, Afrika Kusini, Kenya na Mauritius, na mashirika 186 ya utalii kutoka nchi mbalimbali kote duniani watakutana na kujadili jinsi ya kuhimiza maendeleo ya sekta hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako