• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Thiery Henry amtabiria Martial kuwa mchezaji bora wa dunia

  (GMT+08:00) 2017-10-11 09:27:15

  Thierry Henry amemtabiria mshambuliaji wa timu ya Manchester United, Anthony Martial atakuwa mchezaji bora duniani. Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal na Ufaransa, amesema, Martial amekuwa na kiwango bora akiwa na miaka 21 tofauti na yeye alipokuwa na umri kama huo.

  Martial aliyetua Man United mwaka 2015 kutoka Monaco ya Ufaransa, amekuwa chachu ya mafanikio Old Trafford.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako