• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda-Kiwango cha mfumuko wa bei Rwanda kimeongezeka hadi asilimia 3.8% mwezi Septemba.

  (GMT+08:00) 2017-10-11 18:57:40

  Shirika la Takwimu nchini Rwanda linasema kuwa Ripoti ya bei ya mjini nchini Rwanda- Consumer Price Index (CPI) imeongezeka hadi asilimia 3.8 kila mwaka mwezi Septemba,kutoka asilimia 3.2 ilizoandikisha mwezi kabla ya huo.

  Katika Ripoti iliyotolewa jana,Taasisi ya Kitaifa ya Takwimu nchini Rwanda inasema kuwa Ongezeko hilo hasa limetokana na kuongezeka kwa kwa bei za chakula na vinywaji ambavyo sio vileo ,na asilimia 2.4 na 1.5% katika nyumba,maji,umeme,gesi na usafiri mtawalia.

  Rwanda hutumia Ripoti ya Be ya Mjini kupima wastani wa mabadiliko wa bidhaa na huduma zinazonunuliwa na familia.

  Kiwango cha mfumko kilikuwa juu kwa asilimia 1.1 katika kila mwezi,ilhali kiwango cha wastani cha kila mwaka kati ya mwezi Septemba 2016 na Septemba 2017 kilikuwa asilimia 6.1.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako