• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya uchaguzi ya Kenya yasema uchaguzi wa marudio utaendelea kama ilivyopangwa

    (GMT+08:00) 2017-10-12 09:24:59

    Utata wa kisheria umeibuka siku moja baada ya mgombea wa urais na kiongozi mkuu wa upinzani Bw Raila amollo Odinga na mgombea mwenza Bw Kalonzo Musyoka kutangaza rasmi kuwa wamejiondoa kwenye uchaguzi wa marudio. Muungano wa NASA unasema ni lazima uchaguzi mpya uandaliwe huku muungano tawala ukiitaka tume ya uchaguzi kumtangaza Bw Uhuru Kenyatta kuwa Rais Mteule. Hata hivyo tume ya uchaguzi ya Kenya imesema Bw Odinga hajawasilisha fomu namba 24A, ambayo ni nyaraka rasmi ya mgombea kujitoa kwenye uchaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako