• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kodi ya mafuta ya taa katika eneo la mashariki mwa DRC yatoa mchango mkubwa mashariki mwa DRC

    (GMT+08:00) 2017-10-12 09:25:17

    Kodi inayotokana na biashara ya mafuta ya taa, umetajwa kuwa moja ya vyanzo muhimu vya mapato kwa majimbo ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Licha ya kuwa matumizi makubwa ya mafuta yanaonesha tatizo la upatikanaji wa umeme kwa eneo hilo, pesa zinazotokana na kodi ya mafuta zinaonyesha mchango mkubwa katika kugharamia huduma za jamii katika eneo la majimbo hayo, kama alivyoeleza mmoja wa maofisa wa huko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako