• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: KRA yaanzisha kampeini za kusisitiza ulipaji ushuru

  (GMT+08:00) 2017-10-12 18:41:30

  Halmashauri ya ushuru nchini Uganda (KRA) imeanzisha kampeini kote nchini humo kuhimiza ulipaji ushuru.

  Afisa mkuu wa halmashauri hiyo Rumanyika Ian amesema wanalenga kuongeza mapato ya ushuru na kuelimisha wananchi kuhusu ushuru.

  Vituo 75 vya ushuru vimefunguliwa kote nchini Uganda kwa ajili ya utoaji wa huduma

  Uganda imetatizwa na ukwepaji wa ushuru kwa zaidi ya miaka 10.

  Kuanzishwa kwa taasisi za biashara na vipindi maalum kwa runinga na redio kumechangia pakubwa kufahamisha watu kuhusu ushuru.

  Mwaka jana, idara hiyo imefanya oparesheni ya kuwasaka na kuwatia mbaroni wafanyibiashara wanaokwepa ushuru.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako