• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya mauzo kwenye biashara ya mtandao wa interet vijijini nchini China yafikia dola za Marekani bilioni 135.8

    (GMT+08:00) 2017-10-13 18:36:29

    Mkutano wa pili wa biashara kwa njia ya mtandao wa internet vijijini nchini China umetoa ripoti ya maendeleo ya biashara hiyo kwa mwaka 2016 hadi mwaka huu, inayoonesha kuwa thamani ya mauzo kupitia biashara hiyo imefikia dola za Marekani bilioni 135.8.

    Ripoti hiyo pia imesema, biashara kupitia mtandao wa internet inazidi kuchukua nafasi muhimu kwenye uchumi wa jamii siku hadi siku. Wanakijiji zaidi ya milioni 20 wamevutiwa na kufanya kazi katika sekta hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako