• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za EAC zaanza kutekeleza marufuku ya nguo za mitumba

    (GMT+08:00) 2017-10-13 19:05:29

    Baadhi ya nchi katika jumuiya ya Afrika mashariki zimeanza kupiga marufuku uagizaji wa nguo zilizotumika maarufu kama mitumba katika nchi zao. Hatua hii inafuatia makubaliano ya nchi wanachama za jumuiya ya Afrika mashariki kupiga marufuku nguo hizo kwa ajili ya kulinda viowanda vya nguo katika kanda hii. Hivi sasa nchi za Sudan Kusini, Rwanda, Kenya,Uganda, Tanzania na Burundi zimeanza kutekeleza marufuku hiyo huku Marekani nayo ikionya kuwaadhibu kwa kuwa nguo hizo hutoka nchini humo. Bidhaa zilizotumika ikiwemo Nguo, magari, mitambo ya matibabu,vifaa vya hospitalini na kompyuta zimekuwa zikipenya barani Afrika kwa muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako