• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya 46 ya kimataifa ya ufundi kufanyika Shanghai

    (GMT+08:00) 2017-10-14 11:09:16

    Maonesho ya 46 ya kimataifa ya ufundi yatafanyika mjini Shanghai, China mwaka 2021.

    Uamuzi huu umetolewa jana kwenye mkutano wa wajumbe wote wa Shirikisho la kimataifa la Ufundi. Kabla ya hapo rais Xi Jinping ametoa pongezi kwa njia ya video, akiwa kwa niaba ya serikali na wananchi wa China, ameeleza kuunga mkono Shanghai kuandaa mashindano hayo. akisema mji wa Shanghai utaandalia mashindano ya ufundi ya kimataifa yenye mvuto mpya kwa watu wa dunia. Serikali ya China inapongeza Shirikisho la Kimataifa la Ufundi kwa nia yake ya kujiendeleza, na kupenda kushiriki kwenye shughuli zake mbalimbali, ili kutoa mchango zaidi kwa ajili ya juhudi za kupunguza umaskini na maendeleo endelevu duniani.

    Mashindano ya kimataifa ya Ufundi yanajulikana kama Michezo ya Olimpki ya ufundi duniani, hadi sasa yamefanyika mara 43.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako