• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya 122 ya biashara za bidhaa za China yafunguliwa mjini Guangzhou

    (GMT+08:00) 2017-10-15 18:33:07

    Maonesho ya 122 ya biashara za bidhaa za China yafunguliwa leo mjini Guangzhou.

    Maonesho hayo yenye maeneo ya mita za mraba karibu milioni 1.2 yatafanyika katika vipindi vitatu, na kuonesha aina zaidi ya laki 1.6 za bidhaa.

    Ikiwa ni maonesho makubwa zaidi ya biashara nchini China, maonesho hayo yanayofanyika mara mbili kwa mwaka yanawavutia wafanyabiashara laki mbili kutoka nchi na sehemu zaidi ya 210 duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako