• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara (VPL) Yanga yaisasambua Kagera Sugar

    (GMT+08:00) 2017-10-16 08:15:16
    Mabingwa watetezi Yanga imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya wenyeji Kagera Sugar na kufikisha pointi 12. Azam imelazimishwa sare ya 1-1 na , huku Mbeya City ikitoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Mbao fc. Ligi hiyo iliendelea jana kwa mcezo kati ya Simba sports club dhidi ya Mtibwa Sugar. Goli lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika za lala salama iliwezesha Simba kutoa droo ya 1-1.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako