Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare.
(GMT+08:00) 2017-10-16 08:17:09
Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea wikiendi iliyomalizika huku Manchester City wakifanya mauaji kwa kuichapa Stoke City magoli 7-2. Crystal Palace imeilaza Chelsea kwa goli 2-1, huku Arsenal ikibomolewa na Watford kwa jumla ya magoli 2-1. Nayo Manchester United imeambulia sare ya 0-0 dhidi ya Liverpool.