• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uhispania (La Liga): Suarez ainusuru Barca kupigwa, Real Madrid yashinda

    (GMT+08:00) 2017-10-16 08:17:30
    Luis Suarez ameinusuru timu yake ya Barcelona kutopata kichapo toka kwa Atletico Madrid baada ya kufunga bao la kusawazisha katika dakika ya 82 ya mchezo. Atletico walitangulia kufunga goli kupitia kwa Saul Niguez dakika ya 21 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid.

    Bao la Christiano Ronaldo katika dakika ya 85 limeiwezesha timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa 2-1 katika mechi ya ugenini dhidi ya Gatafe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako