• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya Zhengzhou ya China yavutia makampuni 500 ya nje

    (GMT+08:00) 2017-10-16 18:44:46

    Maonesho ya 23 ya bidhaa ya Zhengzhou yamefungwa jana mjini Zhengzhou, mkoani Henan.

    Robo ya eneo la maonesho hayo yaliyovutia zaidi ya makampuni 500 kutoka zaidi za nchi na sehemu 20, ilitengwa kwa ajili ya bidhaa kutoka nje. Akiongea kuhusu maonesho hayo, Mkurugenzi wa ofisi ya kampuni ya kimataifa ya kituo cha mkutano ya Zhengzhou, Chen Xiaofeng, amesema maonesho yalishirikisha bidhaa kutoka nchi zilizo kwenye ukanda mmoja na njia moja na kwamba yamevutia makampuni mengi ya nje kwa sababu ya mji huo kuwa na vifaa na biashara ya kuvuka mpaka ya mtandao wa internet.

    Zhengzhou ilianzisha huduma ya treni ya mizigo kutoka China hadi Ulaya mwaka 2013. Safari moja inachukua kati ya siku 11 na 14, zikipunguia siku 25 ikilinganishwa na usafiri wa bahari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako