• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi ya China yamrudisha mtoro mmoja nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2017-10-16 20:13:11

    Polisi nchini China leo mchana imemkabidhi mtoro mmoja raia wa Marekani ambaye yupo kwenye orodha ya hati ya kukamatwa ya idara ya polisi ya wizara ya utekelezaji wa sheria ya Marekani. Hatua hiyo imefikiwa kutokana na ombi la idara ya utekelezaji wa sheria ya Marekani. Hayo ni mafanikio mapya ya ushirikiano wa kutafuta watoro na fedha haramu kati ya idara za utekelezaji wa sheria za nchi hizi mbili baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo ya utekelezaji wa sheria na usalama wa intaneti kati ya China na Marekani iliyofanyika tarehe 4 mwezi Oktoba mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako