• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchaguzi wa Bodi ya Ligi: Rais wa TFF aahidi kushirikiana na bodi ya ligi kuu.

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:50:42
    Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewapongeza mwenyekiti mpya wa bodi ya ligi kuu Clement Sanga pamoja na makamu mwenyekiti Shani Christoms.

    Karia ametoa ahadi ya TFF kushirikiana na bodi hiyo ya ligi kuu katika kuendeleza michezo nchini Tanzania. Na kutoa rai kwa viongozi wa bodi hiyo kusimamia sheria na kanuni za soka kwa ukamilifu bila upendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako