• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya volleyball ya ubingwa wa mataifa ya Afrika: Nahodha wa Rwanda kukosa mashindano.

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:51:53
    Nahodha wa timu ya taifa ya wanaume ya volleyball ya Rwanda Christophe Mukunzi, atakosa michuano ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika yatakatoanza Oktoba 20-30 huko Cairo, Misri.

    Mukunzi sasa yuko Saudi Arabia kwa ajili ya mazungumzo na klabu mpya.

    Mashindano hayo yatajumuisha timu toka Tunisia, Cameroon, Algeria, Morocco, Cape Verde, Ghana, Nigeria, Niger, DR Congo, Kongo, Kenya, Rwanda, Botswana na Msumbiji wakati kadi ya Wild kwa Zambia, Libya, Chad na mwenyeji wa Misri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako