• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya CHAN: Morocco sasa kuandaa mashindano

    (GMT+08:00) 2017-10-17 09:52:12
    Kamati ya dharula ya shirikisho la soka barani Afrika, ikiongozwa na rais wake Bwana Ahmad Ahmad ilikutana mjini Lagos Nigeria na kwa pamoja imeamua kutoa nafasi kwa nchi ya Morocco kuandaa fainali za 5 za CHAN.

    Uamuzi huo umekuja muda mfupi baada ya nchi ya Kenya kupokonywa nafasi ya kuandaa mashindano hayo baada ya kubaini kasoro kadhaa ikiwemo kuchelewa kukamilika kwa maandalizi.

    Fainali za CHAN 2018 zimepangwa kuanza Januari 12 na kumalizika Februari 14, 2018 huku jumla ya mataifa 16 yatachuana kuwania taji hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako