• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Masumbwi: Anthony Joshua kuvaana na Takam Oktoba 28

  (GMT+08:00) 2017-10-17 09:58:18

  Pambano linalosubiriwa na mashabiki wengi wa ndondi kati ya bondia Anthony Joshua atakapopambana na Carloes Takam baada ya Kubrat linatarajiwa kufanyika Oktoba 28 katika dimba la Cardiff ambapo hadi sasa jumla ya tiketi 70,000 zimekwishauzwa.

  Hili litakuwa pambano la kwanza kwa Joshua tokea alipomchakaza Wladimir Klitschko mwezi April. Joshua anatarajiwa kutetea mataji yake ya IBF na WBA.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako