• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu nchini Kenya: Gor Mahia yanyakuwa ubingwa wa KPL

    (GMT+08:00) 2017-10-18 08:20:36
    Timu ya Gor Mahia imeitwanga Kariobang Sharks kwa mabao 3-1 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Kenya. Gor Mahia inanolewa kocha Dylan Kerr imeshinda mechi hiyo jana na kukamilisha safari yake ya ubingwa msimu.

    Kerr ambaye ameichukua timu hiyo nusu msimu, amepata sare mbili, kapoteza moja na kushinda zilizobaki. Amefanikiwa kuchukua ubingwa na Gor Mahia akiwa na mechi tatu mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako