• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Barcelona yamfukuzia kinda wa klabu ya Flamengo

  (GMT+08:00) 2017-10-18 09:18:50

  Klabu ya Barcelona imerudi kwa klabu ya Flamengo kwa gia nyingine ya kumchukua kinda wake Lincoln mwenye miaka 16 baada ya kuvutiwa naye kutokana na kiwango alichokionyesha kwenye kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17.

  mchezaji huyo kwa sasa anawindwa na klabu mbalimbali barani ulaya. Barcelona imeripotiwa kutaka kumsajili. Lincoln alisajiliwa na Flamingo mwishoni mwa mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako