• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Darasa la mafunzo ya lugha ya kichina kwa polisi wa Afrika Kusini lakaribishwa

    (GMT+08:00) 2017-10-18 19:06:04

    Kituo cha polisi na raia cha wachina huko Cape town nchini Afrika Kusini jana kilifanya sherehe ya mahafali ya darasa la awamu ya nne la mafunzo ya lugha ya kichina kwa polisi.

    Mafunzo hayo yalifunguliwa mwanzoni mwa mwezi Aprili, kuna darasa la ngazi ya mwanzo na darasa la ngazi ya juu, polisi zaidi 40 kutoka vituo 18 vya polisi vya Cape Town na sehemu za jirani walishiriki kwenye mafunzo hayo.

    Kwenye sherehe hiyo wanafunzi walisema kujifunza lugha ya kichina kunaleta urahisi kwa kazi zao, na kunawasaidia kuwaelewa zaidi wachina na utamaduni wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako