• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania-Wafugaji wanaokwepa chapa kushughulikiwa

    (GMT+08:00) 2017-10-18 19:14:29

    Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ametoa onyo kwa wafugaji wilayani humo ambao wanadaiwa kutotii agizo la serikali la upigwaji chapa mifugo,hatua inayokwamisha kazi hiyo kufanyika kwa ufanisi.

    Matiro alitoa onyo hilo jana wakati akizungumza na viongozi wa serikali ya kata ya Pandagichiza,Shinyanga vijijini wakiwamo wakulima,na wafugaji ,kabla ya kwenda kuzindua upigaji chapa mifugo kwenye kata hiyo,kuwa mkulima ambaye ataendelea kukaidi agizo hilo atashughulikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako