• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Afrika ya Cana yafunguliwa jana jijini Dar es salaam

    (GMT+08:00) 2017-10-20 08:33:12

    Mashindano ya Afrika ya Cana ya kanda ya tatu yamefunguliwa jana kwenye bwawa la kuogelea la Hopac jijini Dar es Salaam na kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Zambia, Afrika Kusini, Sudan na wenyeji Tanzania. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha kuogelea Tanzania (TSA), Phillip Saliboko amesema Tanzania ambayo ndio mabingwa watetezi inawakilishwa na timu mbili, Tanzanite ambayo itakuwa na jumla ya wachezaji 30 na ya pili inajulikana kwa jina la Platinum itakuwa na wachezaji 21.

    Mmoja wa makocha wa timu hiyo, Alexander Mwaipasi alisema kuwa wamemaliza mafunzo yao yote kwa waogeleaji hao na wanatarajia kupata ushindi mkubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako