• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa mataifa watoa dola milioni 160 kwa Tanzania kwa ajili ya miradi ya maendeleo kuanzia Januari hadi Oktoba

    (GMT+08:00) 2017-10-20 10:37:05

    Umoja wa mataifa umesema umetoa dola milioni 160 za kimarekani kwa serikali ya Tanzania kuanzia Januari hadi Oktoba mwaka huu, kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo. Mratibu mkazi wa mashirika ya Umoja wa mataifa nchini Tanzania Bw Alvaro Rodriguez amesema Umoja huo unatumia wastani wa dola za kimarekani milioni 200 kuunga mkono miradi ya maendeleo nchini Tanzania kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako