• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yathibitisha kutokea kwa mlipuko wa Marburg mashariki mwa nchi

    (GMT+08:00) 2017-10-20 10:37:22

    Wizara ya afya ya Uganda imethibitisha kuwa mlipuko wa homa ya Marburg umetokea kwenye eneo la Kween, mashariki mwa nchi hiyo. Waziri wa afya wa Uganda Bibi Jane Aceng amesema timu ya madaktari inayoongozwa na kaimu mkurugenzi wa huduma za afya Bw Anthony Mbonye imepelekwa kwenye eneo hilo kudhibiti mlipuko wa homa hiyo, na kwamba wizara yake imeanzisha vituo vya karantini kuwashughulikia watu wote wanaodhaniwa kuambukizwa homa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako