• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Iran lasema litaharakisha mpango wake wa makombora

    (GMT+08:00) 2017-10-20 10:37:40

    Vikosi vya ulinzi wa mapinduzi ya kiislamu vya Iran vimetoa taarifa ikisema Iran haitafanya mazungumzo chini ya shinikizo la Marekani, na itaharakisha mpango wake wa kuendeleza makombora. Taarifa inasisitiza ahadi ya Iran ya kuinua ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati na kuongeza uwezo wake wa kutafiti na kuendeleza makombora, na kwamba jaribio la Marekani na Israel kuhujumu amani ya Mashariki ya kati halitafaulu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako