• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuifanya sarafu ya RMB iwe ya kimataifa kumepiga hatua kubwa

    (GMT+08:00) 2017-10-20 18:51:16

    Ripoti ya Benki kuu ya China imesema kumekuwa na maendeleo makubwa kwenye matumizi ya sarafu ya China RMB duniani, mwelekeo unaonekana kuwa utaendelea.

    Ripoti hiyo imesema sarafu ya China imepiga hatua kubwa katika matumizi yake duniani, na matumizi ya RMB kwenye akaunti za mitaji kunazidi kufanywa kuwa huria.

    Katika mwezi Agosti matumizi ya sarafu ya RMB katika miamala ya kimataifa ilifikia asilimia 1.94 na kuwa sarafu ya tano kutumika kwa wingi.

    China inaendelea kuhimiza matumizi ya sarafu yake duniani, ili kupunguza gharama za miamala kwenye biashara ya kimataifa, ambayo mara nyingi hufanywa kwa kutumia dola ya Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako