• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kimataifa wa eneo la maziwa makuu la Afrika wafuatilia hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo

    (GMT+08:00) 2017-10-20 18:55:58

    Mkutano wa 7 wa kimataifa wa viongozi wa eneo la maziwa makuu la Afrika ulifunguliwa jana Brazaville nchini Jamhuri ya Kongo, viongozi waliohudhuria mkutano huo walifuatilia hali ya usalama ya sehemu ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, na kuitaka jumuiya ya kimataifa isaidie kutimiza mchakato wa amani wa nchi hiyo na kuondoa matishio yote ya makundi haramu yenye silaha kwenye sehemu ya mashariki mwa nchi hiyo.

    Baada ya mkutano huo, viongozi waliohudhuria mkutano huo walifanya majadiliano kuhusu waraka wa mpango wa amani, usalama na ushirikiano wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na eneo la maziwa makuu la Afrika uliosainiwa mwaka 2013.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako