• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasisitiza kulinda utaratibu wa biashara ya pande nyingi

    (GMT+08:00) 2017-10-22 18:52:05

    Mkutano wa 24 wa mawaziri wa fedha wa APEC uliofunguliwa tarehe 19 umefungwa jana mjini Hoi An, Vietnam.

    Kwenye mkutano huo, msaidizi wa waziri wa fedha wa China Bw. Zhao Mingji amesema nchi mbalimbali za Asia Pasifiki hasa makundi makubwa ya kiuchumi zinapotunga au kurekebisha sera za uchumi, zinatakiwa kuimarisha mawasiliano na uratibu, kuongeza ushirikiano katika utungaji wa sera, kushikilia utaratibu wa biashara ya pande nyingi kwenye msingi wa biashara huria, na kuongeza nguvu katika mageuzi ya muundo wa uchumi, ili kuhimiza ongezeko linalofuatilia maslahi ya pande mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako