• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uhispania (La Liga) Barcelona yaichapa Malaga 2-0

    (GMT+08:00) 2017-10-23 08:23:46

    Barcelona imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malaga katika mchezo wa ligi kuu ya Uhispania –La Liga uliochezwa uwanja wa Camp Nou.

    Mabao ya Barca yalifungwa na Gerard Deulofeu dakika ya 2 ya mchezo, huku Andres Iniesta akiifungia Barca goli la pili katika dakika ya 56.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako