• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi Uingereza wasema tukio la utekaji nyara huko Nuneaton halina uhusiano na ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-10-23 08:47:06

    Polisi nchini Uingereza wamesema tukio la utekaji nyara lililotokea mjini Nuneaton halina uhusiano na ugaidi. Kwenye ukurasa wa Twitter, polisi wa Warwickshire wamesema tukio hilo bado linaendelea kwenye bustani ya Bermuda mjini humo, na kuthibitisha kuwa halihusiani na vitendo vya kigaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako