• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mtandao wa marafiki wa jeshi la China wapanuka

  (GMT+08:00) 2017-10-23 09:27:29

  Mnadhimu mkuu wa Ofisi ya ushirikiano wa kijeshi wa kimataifa katika Kamati ya kijeshi ya Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bibi Liu Fang amesema, katika miaka mitano iliyopita, mtandao wa marafiki wa jeshi la China unapanuka siku hadi siku.

  Akihojiwa kando ya mkutano mkuu wa 19 wa CPC, Bibi Liu Fang amesema, jeshi la China si kama tu limekuwa likijitahidi kusukuma mbele kwa hatua madhubuti uhusiano wa kijeshi na nchi zilizoendelea, bali pia linazingatia kukuza ushirikiano wa kijeshi na nchi jirani na nchi zinazoendelea.

  Amesema katika miaka mitano iliyopita, ushirikiano wa pande mbili mbili umeunganishwa kuwa mtandao wa wenzi wa ushirikiano wa usalama duniani, na muundo mpya wa ushirikiano wa kijeshi wa kimataifa unaanzishwa hatua kwa hatua.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako