• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wazalishaji wa viwanda wanatabiri siku ngumu siku za baadaye

    (GMT+08:00) 2017-10-23 19:40:25
    Wazalishaji wa viwanda wanatabiri siku ngumu katika miezi sita ijayo kutokana na uchaguzi wa muda mrefu, utafiti mpya unaonyesha.

    Aidha, namba kubwa ya makampuni imeripoti ukuaji wa chini wa mapato katika miezi mitatu iliyopita.

    Utafiti, pia inaonyesha kwamba asilimia mbili tu ya makampuni yanatarajia ukuaji wa mapato mazuri.

    Kulingana na mtendaji mkuu wa chama cha viwanda Phyllis Wakiaga, matarajio makubwa juu ya ukuaji mbaya wa mapato yanatokana na hali mbaya ya kisiasa nchini.

    Katika miezi mitatu iliyopita, asilimia 22 pekee ya wazalishaji wa viwanda waliandikisha ukuaji wa mapato wa kati ya asilimia moja na asilimia tisa, wakati asilimia 11 waliripoti ukuaji wa mapato wa zaidi ya asilimia 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako